Category: Mashairi
Mashairi
Showing the single result
-
Walanyama
KSh 600.00WALANYAMA ni diwani la mashairi yanayoonyesha taswira ya jamii ya sasa. Jamii ambayo imetawaliwa na dhulma, unyanyasaji, unafiki na jinsi mapenzi yamekosa maana kwa kuyapuuza maswala ya jadi. WALANYAMA ni nyenzo ya bahari mbalimbali za ushairi zilizoshughulikiwa kwa ukamilifu kwa manufaa ya jamii yote ya ulimwengu.