Showing the single result

Daudi Anapika

KSh 300.00
Daudi anapika ni hadithi inayopania kufundisha watoto namna ya kusoma misamiati mipya ya jikoni kama inavyotakiwa katika mtaala wa umilisi wa cbc na ngazi nyingine. Daudi anajifunza misamiati mbalimbali, huku akijifunza vifaa vya jikoni. Kitabu hiki pia kina kamusi yangu, ili kumuwrzesha mtoto kujua maana ya misamiati mipya atakayopatana nayo. Mpe mwanao nakala hii ili ajifundishe vifaa vya jikoni kama tanuri na vingine.