12 Keys To Mega Success
50 Tips on How To Find Peace in The Darkest Moments
A Simple Guide to Learning French as a Foreign Language
An Artist of the Floating World Guide book
Angelina by Charles Manda
Daudi Anapika
Daudi anapika ni hadithi inayopania kufundisha watoto namna ya kusoma misamiati mipya ya jikoni kama inavyotakiwa katika mtaala wa umilisi wa cbc na ngazi nyingine. Daudi anajifunza misamiati mbalimbali, huku akijifunza vifaa vya jikoni. Kitabu hiki pia kina kamusi yangu, ili kumuwrzesha mtoto kujua maana ya misamiati mipya atakayopatana nayo.
Mpe mwanao nakala hii ili ajifundishe vifaa vya jikoni kama tanuri na vingine.